Kwa karne hii ya 21 ni njia rahisi sana inayo mwezesha mtu kuweza kuhamisha mafaili(data) kutoka kifaa kimoja kwenda kwenye kifaa kengine.
Mnamo mwaka 1966 Bwana Jim Kardach mmoja kati ya waanzlilishi wa teknologia hiyo ya bluetooth alikuja na jina hilo wakati walipo kuwa wakipiga strory na wenzake zakihistoria.
Katika stori hizo mara jina la mfalme Harald ‘Bluetooth’
Gormsson likajitokeza mfalme huyo aliwahi pata umaarufu baada ya kuunganisha
makabila huko Dernmark na Norway mnamo
karne ya kumi. Kwahiyo jina hilo limekuja likifanisha na mfalme hiyo.