Shirika
la Afya Duniani ‘WHO’ limetoa angalizo kuchukulliwa
tahadhari zaidi kupambana na ugonjwa wa ini.
Katika ripoti yake ya
kwanza ya dunia kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo, WHO imesema idadi kubwa ya watu kufariki
kutokana na ugonjwa wa ini ambao unaweza kutibika unaosababishwa na matumizi ya
pombe na dawa, inaongezeka. Ugonjwa wa ini unaaminika
kupoteza maisha ya watu 1.34 million mwaka 2015, idadi sawa na ile ya waliokufa
kwa TB na UKIMWI, lakini
wakati vifo vitokanavyo na UKIMWI na TB vikipungua, vifo vitokanavyo na
ugonjwa wa ini vinaongezeka – ambapo vimeongezeka kwa 22% tangu kuanza kwa karne hii huku zaidi
ya watu 325 million ambao wameathirika na ugonjwa huo
hawajui kuwa wana virusi vya ugonjwa huo.

Mkurugenzi Mkuu wa WHO Margaret
Chan amesema: “Ugonjwa
wa ini sasa ni changamoto kubwa kwa afya ya jamii ambapo inahitaji juhudi za
makusudi..”