Mwanaume
amekufuata
mwaka 2011
June,ukamwambia
subiri
umfikirie,mwaka
ukaisha..
Akakukumbusha
mwaka 2012
April,ukamwambi
a bado ulikuwa
hujamfikiria
akuongezee
muda,tena
unamwambia
kwani una haraka
sana kaka???
Akawa Mpole
kama bwege
hivi....
November
2012,akakugusia
ombi lake,halafu
unamjibu,''Hivi
kumbe ulikuwa
Serious, i thought
you were
joking'??Joking
kwani mi Evans
Bukuku...
January 2013
kwa kujua
unamchukulia
poa jamaa
akaamua
kutafuta
msichana
mwingine,ghafla
mmekutana
mahali outing uko
na mchumba
wako,unamtolea
macho...Siku 2
zinazofuata
unamtumia
meseji,''I think I
have something I
feel for you for
so long,am now
ready to be with
you'
Yaani mtu
amesubiria jibu
lake miaka 2
kama anasubiri
ujio wa Yesu
ukawa
unampotezea,ume
muona kamove
on yuko na kibinti
kingine ndo
unajifanya eti
jibu liko
tayari,UNA AKILI
WEWE???
Sometimes
wanawake huwa
mnajitakia
kuumizwa bure
tu,yaani mi
nisubirie jibu
miaka 3 utadhani
nasomea Degree
ya
Sociology,halafu
utegemee my
love will be the
same siku
ukikubali..Mna
wazimu!Endeleen
i hivyo hivyo
kucheza kiduku
na Hisia za watu
mtabamizwa
kuliko bodi za
Hiace za
Mwembeyanga....
Posted via Blogaway