Mwanamke wa Kizaramo
.-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-
bwana; mke wangu cku hz
ckuamini
Mke; kwa nn'?
bwana; nasikia una bwana sokoni
mke; nani kakuambia
bwana; watu wananipenda
mke'; yan mume wangu huna
shukran yani mwanamme
mwenyewe mmoja tu unapga
kelele' yan kwa mfano mama
chausiku anaishi na baba mwenye
nyumba' mpemba muuza maji'
mtoto wa mangi dukani' mpaka
rangi na hata mlinzi wa dukani
kwa mangi
tena inatakiwa uniheshimu kweli
bwana ; 'ooooohpp
Posted via Blogaway